HORMONE IMBALANCE

 



*HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)*

:Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN.


*VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE*

➡Utoaji wa mimba

➡Uwepo wa sumu mwilini.

➡kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha.

➡Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone

➡mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.

➡uzito mkubwa

➡Msongo wa mawazo.

➡Kutofanya mazoezi.

➡Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango.

➡Kukoma kwa hedhi.


Mara uonapo dalili za mvurugiko wa homoni wasiliana Dr Nicky~  sasa ili kupata ushauri mzuri wa afya na matibabu.

Post a Comment

0 Comments