BAWASIRI

 



 DALILI ZA BAWASIRI


👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa 


👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia 


👉kutokea uvimbe/vijinyama katika eneo la tundu la haja kubwa 


👉kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo 


👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana


👉Kupata choo kwa Shida Sana,kupata choo kigumu


 MATIBABU YA BAWASIRI

Yapo bila kufanya upasuaji na mgonjwa akapona kabisa na elimu ya ulaji na mtindo mzuri wa kuishi bila madhara karibu nikusaidi

Post a Comment

0 Comments