KABLA YA VIPIMO UTASHAURIWA MAMBO HAYA

 


1,ULAJI WENYE TIJA 

Mtu anatakiwa  ale mlo kamili  wenye makundi yote ya vyakula. Katika mpangilio wa asubuhi.chakula kingi  mchana ale chakula cha wastani na usiku ale chakula kidogo.  Hasa  katika mpangilio  wa mbogamboga kwa wingi, na matunda, wanga  na protein kiasi  na sukari pamoja na mafuta kiasi kidogo.

2, KUFANYA MAZOEZI
Ili kuchoma mafuta, na kutoa sumu  mwilini mazoezi yanaweza kuwa ya kuruka kamba kukimbia,  kutembea kwa haraka  na mengine kama hayo.

3 KUPIMA AFYA ANGALAU MARA MBILI KWA MWAKA
Ilikujijua mwili upo katika hali gani ili uweze kuchukua hatua,  unajua ukiumwa ni kwamba mwili ulishapambana wenyewe mpaka umezidiwa ndio Sasa unaonyesha viashiria vya kuumwa. Lakini mtu akiwa amepima afya yake anajuwa nini afanye kwa ajili ya mwili wake. Kwani afya njema nimtaji wa kutosha.
4,NNE KUPUMZISHA MWILI
Ili tissue ziweze kujitengeneza upya . Kwani ukilala seli za mwili zilizochakaa zinaondoshawa na mpya zinachukua nafasi, kwa hio jambo LA kuupumzisha mwili ni muhimu. Angalao kuanzia Masaa sita hadi nane

Post a Comment

0 Comments