FAHAMU CHANZO DALILI NA TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO.
______________________________
Sababu za kawaida zinazo sababisha vidonda vya tumbo ni maambukizo na bakteria Helicobacter pylori (H. pylori) na utumiaji wa dawa za muda mrefu za aspirini nonsteroidal anti-inflammatory drugs (NSAIDs) ni kama (Advil, Aleve, n.k).
Stress (msongo wa mawazo) na vyakula vyenye viungo havisababishi vidonda vya tumbo.
Ispokuwa vinaweza kusababisha dalili kuwa mbaya zaidi.
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO.
__________________________
Dalili hizi hutofautiana kulingana na aina za vidonda.
Ila hapa nitaorodhesha baadhi ya dalili ambazo ni kawaida kwa aina mbalimbali za vidonda vya tumbo.
1.maumivu ya tumbo kutokea kitomvuni mpaka kifuani.
2.Kukosa hamu ya kula.
3.Kutokwa na damu na kupata choo cheusi sana au chenye damu.
4.Uzito kupungua bila sababu.
5.Kutapika na kutapika damu.
6.kupata kiungulia mara kwa mara.
7.Tumbo kujaa gesi.
8.Kuchoka sana bisa sababu.
Dalili ya kawaida ya vidonda vya tumbo ni maumivu ya tumbo.
Asidi ya tumbo hufanya maumivu kuwa mabaya, kama vile kuwa na tumbo tupu yaani ukiwa na njaa.
Maumivu yanaweza kupungua kwa kula vyakula fulani ambavyo hupunguza asidi ya tumbo au kwa kutumia dawa ya kupunguza asidi, lakini maumivu hulejea baada ya muda kidogo.
Maumivu yanaweza kuwa mabaya kati ya milo na mlo na wakati wa usiku.
Karibu robo tatu ya watu wenye vidonda vya tumbo hawana dalili maalumu.
Mara nyingi vidonda vya tumbo vinaweza kuonesha ishara kali au dalili kama vile:
Kutokwa na damu au kutapika damu- ambayo inaweza kuonekana kuwa nyekundu au nyeusi.
1.Damu nyeusi kwenye kinyesi, au kupata choo ambacho ni cheusi.
2.Shida ya kupumua.
3.Kuhisi kizunguzungu na hata kuzimia.
4.Kichefuchefu au kutapika
5.Kupugua uzito bila ya sababu.
6.Kupoteza hamu ya kula chakula.
USHAURI
_______________________
Mpendwa rafikiyangu maisha bila kuwa na Afya njema ni bure hakikisha unajilinda usiku na mchana kwa kufanya uchunguzi wa Afya mara kwa mara.
Ukiona dalili mojawapo kati ya hizo nilizo zitaja hapo juu wahi kituo cha Afya ukafanyiwe vipimo mapema.
Ikigundulika umepata mashambulizi ya vidonda vya tumbo ondoa wasiwasi tiba ya vidonda vya tumbo ipo na unapona kabisa.
MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO UKIWA NYUMBANI.
______________________________
1). Chukua Tango 1, Tangawizi iliyo sagwa kijiko 1, kitungu swaum punje 4, asali kijiko 1,
Hivi vyote visagwe kwa pamoja ipatikane juis lita 1 utatumia kunywa kutwa mara 4 kwa muda wa siku 30 hapo vidonda vya tumbo kwisha kabisa.
2). Tumia kunywa maji lita 1 kila siku asubuhi kabla ya kula chochote wala kunawa uso wako tumia kwa siku 45 kwa uwezo wa mungu utapona kabisa.
Kumbuka hizi ni tiba siyo vitulizo vya ugonjwa.
MATIBABU LISHE YA KUMALIZA TATIZO LA VIDONDA VYA TUMBO
____________________________
CONSTIRELAX PROBIO3 NA ANT DIAR.
Hizi ni aina ya tiba zilizo andaliwa kwa virutubishi maalumu ambavyo vitakusaidia kumaliza vidonda vya tumbo kwa wepesi zaidi.
1. hurekebisha mmeng'enyo wa chakula na kuweka sawa uwiano wa bakteria tumboni.
2. huwauwa bakteria wabaya na kuongeza wazuri kwa wingi.
3. Huzuwia kuharisha na kutapika damu pia hulinda na kuimarisha utumbo mdogo.
4. Huondoa mabaki ya vyakula na sumu mbalimbali katika utumbo mdogo na mkubwa.
5. Huupa mwili nguvu Afya njema na kuongeza viini lishe ndani ya mwili.
Hivyo ukitumia wewe mwenye tatizo la vidonda vya tumbo unapona kabisa tena bila kujiludia kwa tatizo hilo.
0 Comments